lakini acha Nyota karibu nami, Nyota wangeweza kufanya nini duniani? Wangeona majonzi bila ubingu."


"Tufanye nini?" Jua alisema.

hex1.jpg
Emanuela (miaka 5)


Giuliana (miaka 5)
"Tufanye hivi. Mimi nitakaa hapa pamoja na Nyota," alijibu Mwezi, "na wewe utakwenda duniani pamoja na Kuku."

< ukurasa wa 3 - Mwanzo - ukurasa wa 5 >