| |

Valeria (miaka 4) |
Walakini Kuku na Nyota walikuwa wanagombana wakati wowote na
makelele ya ugomvi wao
yalikuwa yanawasumbua waliokaa mbinguni. Kwa sababu ya makelele ya watoto wagomvi hata Jua, baba
yao, hakutaka kukaa tena nyumbani siku nzima kwa hiyo alikuwa anarudi alasiri kasiri kila siku.
|
Mara moja Jua alimwambia Mwezi, bibi yake: "Unaona watoto wako
wanavyonikasirika? Nitawatupa duniani hivi sasa, ili wanagombane
kule".
|
Riccardo (miaka 5)
|
| Mwezi alimjibu: "Kweli Kuku ni wagombi
sana. Pengine wanataka kuhamia duniani, kutembea shambani wale nyungunyungu, ambao hapa
hawakuwepo, |
< ukurasa wa 2 - Mwanzo
- ukurasa wa 4
>
|